Matthew 6:9-13

9 a“Hivi basi, ndivyo iwapasavyo kuomba: “ ‘Baba yetu uliye mbinguni,
Jina lako litukuzwe.

10 Ufalme wako uje.
Mapenzi yako yafanyike
hapa duniani kama huko mbinguni.

11 bUtupatie riziki yetu
ya kila siku.

12 cUtusamehe deni zetu,
kama sisi nasi tulivyokwisha
kuwasamehe wadeni wetu.

13 dUsitutie majaribuni,
bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu
[kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu,
na utukufu, hata milele. Amen].’

Copyright information for SwhKC